Papa wawili watangazwa watakatifu


Papa Francis, kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Umati mkubwa wa watu wamekusanyika mjini Vatican kushuhudia tukio la kihistoria ambapo viongozi wawili wa zamani wa Kanisa Katoliki, Papa John Paul II na Papa John XXIII wametangazwa watakatifu. Ibada iliyoendeshwa kwa pamoja kati ya Papa Francis na mtangulizi wake Papa Benedict XVI imeangaliwa na karibu mahujaji milioni moja na wengine mamilioni ya watu kupitia matangazo ya televisheni … Continue reading Papa wawili watangazwa watakatifu

SNOOP DOGG, SHAQ NA MAGIC JOHSON WACHUKIZWA NA KAULI YA KIBAGUZI ILIYOTOLEWA NA MMILIKI WA CLIPPERS


Mmiliki wa Clippers Donald Sterling akiwa na mpenzi wake aliyekaa kushoto kwake Mmiliki wa timu ya mpira wa kikapu ya Los Angels Clippers ‘Donald Sterling’ amejikuta akiambulia matusi na kujishushia heshima yake kutoka kwa wamarekani weusi baada ya kauli za kibaguzi alizokuwa akimtolea mpenzi wake wakati wa mazungumzo kudakwa kwenye kinasa sauti hali iliyopelekea mastaa wakubwa kama vile Snoop Dogg, French Montanna, Kobe brayant, Shaq, … Continue reading SNOOP DOGG, SHAQ NA MAGIC JOHSON
WACHUKIZWA NA KAULI YA KIBAGUZI ILIYOTOLEWA NA
MMILIKI WA CLIPPERS

ZAMBIA YAOMBOLEZA KIFO CHA MTANGAZAJI GWIJI WA SOKA ‘DENNIS LIWEWE’ KWA SIKU TATU


Marehemu Dennis Liwewe Jamii ya wanamichezo hususani wapenzi wa mpira wa miguu nchini Zambia inaomboleza kifo cha mtangazaji gwiji wa soka mzee Dennis Liwewe ambaye aliwahi kuwa mwandishi wa habari za michezo wa BBC idhaa ya kiingereza katika kipindi cha Focus on Africa. Serikali ya Zambia imetangaza siku tatu za maombolezo huku bendera kupepea nusu mlingoti kwa heshima ya nguli huyo wa utangazaji. Utangazaji wa … Continue reading ZAMBIA YAOMBOLEZA KIFO CHA MTANGAZAJI GWIJI
WA SOKA ‘DENNIS LIWEWE’ KWA SIKU TATU