Huu ni wimbo uliowakutanisha wasanii 50 kutoka Tanzania unaohusu Muungano.


Wimbo Maalumu wa Muungano ulioimbwa na wasanii 50 kutoka Tanzania ambao kwa pamoja walikaa na kutengeneza wimbo huu,jina la wimbo huu unaitwa Tuulinde umetayarishwa na maproducer wawili Ema the boy na Tuddy Thomas kutoka Soround Sound Studio. Wimbo huu maalumu wa Muungano umeimbwa kutoka katika mahadhi tofauti tofauti ya muziki wa hapa Tanzania kuna wa Bongo Flava, Taarab, Dansi, Hiphop na muziki wa injili. Inawezekana … Continue reading Huu ni wimbo uliowakutanisha wasanii 50 kutoka
Tanzania unaohusu Muungano.

SUAREZ ATWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWAKA WA ENGLAND


Suarez na Hazard katika picha ya pamoja baada ya kupokea Tuzo zao Mshambuliaji wa klabu ya Liverpool ‘Luis Suarez’ ameteuliwa kuwa mchezaji wa mwaka wa chama cha wachezaji wa soka la kulipwa katika hafla iliyofanyika jana jijini London. Suarez alinyakuwa tuzo hiyo iliyotolewa na chama cha wachezaji soka wanaolipwa kijulikanancho kama Professional Footballers Association ‘PFA’ baada ya timu anayochezea kufanya vizuri katika msimu huu hapa … Continue reading SUAREZ ATWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWAKA
WA ENGLAND

NACTE YATOA UTARATIBU MPYA KUOMBA VYUO KWA 2015


Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (Nacte) limesema kuanzia mwaka huu wa masomo, wanafunzi wanaotaka kujiunga na masomo ngazi ya astashahada na stashahada ya utabibu na ualimu, watatakiwa kuomba katika mfumo wa pamoja wa mtandao wa Central Admission System (CAS) na siyo vyuoni kama ilivyozoeleka. Katibu Mtendaji wa Nacte, Dk. Primus Nkwera, alitoa taarifa hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki wakati akizungumza … Continue reading NACTE YATOA UTARATIBU MPYA KUOMBA VYUO KWA
2015

KANYE WEST NA KIM KARDASHIAN WATALAZIMIKA KUFUNGA NDOA MARA TATU, MOJA MAREKANI NA MBILI UFARANSA


Zikiwa zimebaki siku chache kabla wazazi wa North West hawajaungana na kuwa mwili mmoja, imefahamika kuwa mastaa hao Kanye West na mama wa mwanaye Kim Kardashian watalazimika kufunga ndoa mara tatu. Mtandao wa Radar Online umeripotia exclusive kuwa ndoa ya wawili hao inatarajiwa kuwa na hatua mbili kabla ya ile ya mwisho itakayofanyika Paris, Ufaransa mwishoni mwa mwezi ujao. Kwa mujibu wa chanzo cha ndani, … Continue reading KANYE WEST NA KIM KARDASHIAN WATALAZIMIKA
KUFUNGA NDOA MARA TATU, MOJA MAREKANI NA
MBILI UFARANSA

Ugomvi wa P- Square ilikuwa ni ‘Publicity stunt’? Muda mfupi baada ya ‘amani’ kurejea watangaza ujio wa album yao mpya!


Ugomvi uliowanyima raha mashabiki wa muziki wa mapacha wa P-Square ilikuwa ni ‘publicity stunt’ ya ujio wa album yao mpya?? Hilo ni swali ambalo sio mimi pekee nimejiuliza, bali hata baadhi ya mashabiki wa kundi hilo kutoka pande mbalimbali za Afrika waliokuwa wakiliombea kundi hilo lisivunjike. Paul Okoye wa P-Square kupitia ukurasa wake wa Facebook jana ametangaza ujio wa album yao mpya ikiwa ni muda … Continue reading Ugomvi wa P- Square ilikuwa ni ‘Publicity stunt’? Muda
mfupi baada ya ‘amani’ kurejea watangaza ujio wa
album yao mpya!

DON JAZZY AWAZAWADIA MKOKO WA NGUVU MAHARUSI TIWA SAVAGE NA TEE BILLZ


Mwanamuziki Tiwa savage wa Nigeria na mume wake Tee Billz wamefanya sherehe ya ndoa yao jijini Dubai iliyohudhuriwa na idadi kubwa ya watu mashuhuri, ndugu, jamaa na marafiki kutoka sehemu tofauti, huku mwanamitindo daraja la kwanza kutoka Tanzania asiyekuwa na chembe ya skendo ‘Millen Magese’ alikuwawa miongoni mwa wageni waalikwa. kwa mujibu wa mtandao mmoja wa Nigeria unaoandika habari za mastaa ulisema ya kwamba Sherehe … Continue reading DON JAZZY AWAZAWADIA MKOKO WA NGUVU
MAHARUSI TIWA SAVAGE NA TEE BILLZ