AY awa msanii wa kwanza wa Tanzania kufikisha followers laki 1 kwenye Twitter, Asante yaanza kuchezwa Trace TV


AY alikuwa msanii wa kwanza wa Tanzania kuwa na
verified account kwenye Twitter na sasa amekuwa
msanii wa kwanza tena kufikisha followers laki moja
kwenye mtandao huo wa kijamii.

image

100,000 Followers…STRONG NATION…Asante kwa
Upendo
— Ambwene AY (@AyTanzania) April 28, 2014
Katika hatua nyingine video yake ‘Asante’ imeanza
kuchezwa Trace TV.
Trace Tv kazi imeanza #ASANTEEEEE #
WELOVEHIPHOPANDRNB http://t.co/8pnHjQyFdH
— Ambwene AY (@AyTanzania) April 28, 2014
Watanzania wengine waliowahi kufikisha followers idadi
hiyo ni Zitto Kabwe, Jakaya Kikwete na Hasheem
Thabeet.
Source: BONGO5