GOODLYF WANG’ARA TUZO ZA ZZINA, WANYAKUA TUZO TANO

image

Kundi la Goodlyf linaloundwa na Weasle na Radio
liliweza kuonyesha ukomavu wake katika sanaa ya
muziki nchini Uganda baada ya kutwaa tuzo tano kwa
katika sherehe za utoaji wa Tuzo za Zzina zilizofanyika
jana usiku kwenye ukumbi wa Theatre La Bonita jijini
kampala nchini Uganda.
Wakali hao wanaotamba na ngoma ya Ammaso
waling’ara katika Tuzo hizo kupitia vipengele
walivyokuwa wakishindania ikiwemo cha nyimbo bora
ya kushirikiana, kundi bora la mwaka, nyimbo bora
inayopendwa na nyimbo bora ya mwaka kupitia ngoma
yao ya Amaaso.
Wasanii wengine waliobahatika kurudi na Tuzo hizo
majumbani kwao ni pamoja na Dr.Jose Chameleone
aliyepata Tuzo 3 ikiwemo ya mwanamuziki bora wa
kiume, tamasha bora la Badilisha na ya mwanamuziki
anayekimbiza kwa kutupia wakati Bebe Cool akiambulia
Tuzo moja ya mtumbuizaji bora.
Kwa mujibu wa waandaji wa Tuzo hizo, Innocent
Nahabwe ambaye ni mkurugenzi mtendaji wa kituo cha
utangazaji cha Galaxy Fm alisema Tuzo hizo zililenga
kuwatambua wasanii wa fani ya muziki na uchekeshaji
waliofanya vizuri kwa mwaka 2013 /14 kwa kupigiwa
kura na mashabiki kwa njia ya simu na kwenye ukurasa
wao wa Facebook wenye wafuasi zaidi ya Laki moja.

image

Tazama orodha ya washindi wa tuzo hizo yakiwemo
majina na vipengele walivyokuwa wakiwania
Best collabo:
*Amaaso- Goodlyfe and Pallaso
Best concert-:
Badilisha- Jose Chameleone
Best events organizer:
Balaam Barugahare
Best overseas collabo:
*Amaaso- Goodlyfe and Pallaso
Best music group:
*Goodlyfe
Best producer:
Nash wonder
Most fashionable artiste:
Jose Chameleone
Best Luga flo artiste:
Gravity Omutujju
Best Comedian:
Afande Kelekele
Best stage performer:
Bebe Cool
Best dancer:
Tip Swizy
Best upcoming artiste:
Khalifa Aganaga
Best Dancehall song:
Gyayo Nteekeyo – Ziza Bafana
Best Love song:
*Hellena- Goodlyfe
Lost and forgotten artiste:
Maddox Ssematimba
Best Lyrics writer:
Nince Henry
Best inspirational song:
This year by Dr. Hilderman
Best Female artiste :
Rema Namakula
Hit song of the year:
*Amaaso by Good life and Pallaso
Best male artiste :
Jose Chameleone
The Hit Song Of The Year – AMAASO – GOODLIFE The
Best Male Artiste -CHAMELEONE The Best Female
Artiste – REMA The Best Luga-Flow Artiste -GRAVITY
OMUTUJJU The Best Dancehall Song -GYAYO NTEKEYO
– ZIZA BAFANA The Best Lov…Read More at http://
www. bigeye.ug/zzina-awards-impressive-start/ ©
Bigeye.ug

Advertisements