PICHA : PETER OKOYE WA PSQUARE ANUNUA MKOKO MPYA AINA YA 2014 BENTLEY GT


Memba wa kundi la Psquare, Peter Okoye ameamua
kuvunja kibubu na kuTaste The Money kwa kununua
mkoko mpya aina ya Bentley GT toleo la mwaka 2014
huku akitaja kuteketeza kiasi cha Naira milioni 30
katika ununuzi wa ndinga hilo ukiwa ni sawa na yale
wanayotumia marapa wakubwa waishio nchini
Marekani.
”Ma new BABY….I’m sure @Lolaomotayo2011 wuld be
jelous of her. #BentleyGT2014 #Bentleyatlanta”
aliandika Peter kwenye ukurasa wake wa Instagram na
kisha kuposti picha za ndinga hilo
Aliongezea ”MY TESTIMONY! @papiijameh stop hating.
U 2 will soon Taste The Money. Lol #Bentley2014

image

image