Mwigizaji maarufu aliefariki dunia


image

Imefahamika kwamba mwigizaji Bob
Hoskins amefariki dunia jana usiku
akiwa na umri wa miaka 71 baada ya
kusumbuliwa na pneumonia.
Bob alistaafu kuigiza toka mwaka
2012 baada ya kuanza kusumbuliwa
na maradhi ambapo kazi zake za
karibuni ni Snow White and the
Huntsman in 2012.
Ameacha mke na watoto wanne.
Source: TZA