Filamu Aliyocheza Nicki Minaj Inaongoza Sasa Kwenye Filamu Kubwa Wiki Hii


Filamu iliyochezwa na mastaa wa Marekani “The Other Woman” akiwemo rapper wa Young Money Nicki Minaj imefika namba moja kwenye filamu kubwa wiki hii kwenye American Box Office . Filamu hii ya mapenzi na vituko yenye mastaa kama Cameron Diaz, Leslie Mann,Kate Upton imefungua wiki kwa kuingiza dola milioni 24.7 upande wa North America, nakuishusha filamu ya Captain America: The Winter Soldier. Kwenye interview kuhusu … Continue reading Filamu Aliyocheza Nicki Minaj Inaongoza Sasa
Kwenye Filamu Kubwa Wiki Hii

AY awa msanii wa kwanza wa Tanzania kufikisha followers laki 1 kwenye Twitter, Asante yaanza kuchezwa Trace TV


AY alikuwa msanii wa kwanza wa Tanzania kuwa na verified account kwenye Twitter na sasa amekuwa msanii wa kwanza tena kufikisha followers laki moja kwenye mtandao huo wa kijamii. 100,000 Followers…STRONG NATION…Asante kwa Upendo — Ambwene AY (@AyTanzania) April 28, 2014 Katika hatua nyingine video yake ‘Asante’ imeanza kuchezwa Trace TV. Trace Tv kazi imeanza #ASANTEEEEE # WELOVEHIPHOPANDRNB http://t.co/8pnHjQyFdH — Ambwene AY (@AyTanzania) April 28, … Continue reading AY awa msanii wa kwanza wa Tanzania kufikisha
followers laki 1 kwenye Twitter, Asante yaanza
kuchezwa Trace TV

PICHA : PETER OKOYE WA PSQUARE ANUNUA MKOKO MPYA AINA YA 2014 BENTLEY GT


Memba wa kundi la Psquare, Peter Okoye ameamua kuvunja kibubu na kuTaste The Money kwa kununua mkoko mpya aina ya Bentley GT toleo la mwaka 2014 huku akitaja kuteketeza kiasi cha Naira milioni 30 katika ununuzi wa ndinga hilo ukiwa ni sawa na yale wanayotumia marapa wakubwa waishio nchini Marekani. ”Ma new BABY….I’m sure @Lolaomotayo2011 wuld be jelous of her. #BentleyGT2014 #Bentleyatlanta” aliandika Peter kwenye … Continue reading PICHA : PETER OKOYE WA PSQUARE ANUNUA MKOKO
MPYA AINA YA 2014 BENTLEY GT

GOODLYF WANG’ARA TUZO ZA ZZINA, WANYAKUA TUZO TANO


Kundi la Goodlyf linaloundwa na Weasle na Radio liliweza kuonyesha ukomavu wake katika sanaa ya muziki nchini Uganda baada ya kutwaa tuzo tano kwa katika sherehe za utoaji wa Tuzo za Zzina zilizofanyika jana usiku kwenye ukumbi wa Theatre La Bonita jijini kampala nchini Uganda. Wakali hao wanaotamba na ngoma ya Ammaso waling’ara katika Tuzo hizo kupitia vipengele walivyokuwa wakishindania ikiwemo cha nyimbo bora ya … Continue reading GOODLYF WANG’ARA TUZO ZA ZZINA, WANYAKUA
TUZO TANO

Huu ni wimbo uliowakutanisha wasanii 50 kutoka Tanzania unaohusu Muungano.


Wimbo Maalumu wa Muungano ulioimbwa na wasanii 50 kutoka Tanzania ambao kwa pamoja walikaa na kutengeneza wimbo huu,jina la wimbo huu unaitwa Tuulinde umetayarishwa na maproducer wawili Ema the boy na Tuddy Thomas kutoka Soround Sound Studio. Wimbo huu maalumu wa Muungano umeimbwa kutoka katika mahadhi tofauti tofauti ya muziki wa hapa Tanzania kuna wa Bongo Flava, Taarab, Dansi, Hiphop na muziki wa injili. Inawezekana … Continue reading Huu ni wimbo uliowakutanisha wasanii 50 kutoka
Tanzania unaohusu Muungano.

SUAREZ ATWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWAKA WA ENGLAND


Suarez na Hazard katika picha ya pamoja baada ya kupokea Tuzo zao Mshambuliaji wa klabu ya Liverpool ‘Luis Suarez’ ameteuliwa kuwa mchezaji wa mwaka wa chama cha wachezaji wa soka la kulipwa katika hafla iliyofanyika jana jijini London. Suarez alinyakuwa tuzo hiyo iliyotolewa na chama cha wachezaji soka wanaolipwa kijulikanancho kama Professional Footballers Association ‘PFA’ baada ya timu anayochezea kufanya vizuri katika msimu huu hapa … Continue reading SUAREZ ATWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWAKA
WA ENGLAND

NACTE YATOA UTARATIBU MPYA KUOMBA VYUO KWA 2015


Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (Nacte) limesema kuanzia mwaka huu wa masomo, wanafunzi wanaotaka kujiunga na masomo ngazi ya astashahada na stashahada ya utabibu na ualimu, watatakiwa kuomba katika mfumo wa pamoja wa mtandao wa Central Admission System (CAS) na siyo vyuoni kama ilivyozoeleka. Katibu Mtendaji wa Nacte, Dk. Primus Nkwera, alitoa taarifa hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki wakati akizungumza … Continue reading NACTE YATOA UTARATIBU MPYA KUOMBA VYUO KWA
2015