KANYE WEST NA KIM KARDASHIAN WATALAZIMIKA KUFUNGA NDOA MARA TATU, MOJA MAREKANI NA MBILI UFARANSA


Zikiwa zimebaki siku chache kabla wazazi wa North West hawajaungana na kuwa mwili mmoja, imefahamika kuwa mastaa hao Kanye West na mama wa mwanaye Kim Kardashian watalazimika kufunga ndoa mara tatu. Mtandao wa Radar Online umeripotia exclusive kuwa ndoa ya wawili hao inatarajiwa kuwa na hatua mbili kabla ya ile ya mwisho itakayofanyika Paris, Ufaransa mwishoni mwa mwezi ujao. Kwa mujibu wa chanzo cha ndani, … Continue reading KANYE WEST NA KIM KARDASHIAN WATALAZIMIKA
KUFUNGA NDOA MARA TATU, MOJA MAREKANI NA
MBILI UFARANSA

Ugomvi wa P- Square ilikuwa ni ‘Publicity stunt’? Muda mfupi baada ya ‘amani’ kurejea watangaza ujio wa album yao mpya!


Ugomvi uliowanyima raha mashabiki wa muziki wa mapacha wa P-Square ilikuwa ni ‘publicity stunt’ ya ujio wa album yao mpya?? Hilo ni swali ambalo sio mimi pekee nimejiuliza, bali hata baadhi ya mashabiki wa kundi hilo kutoka pande mbalimbali za Afrika waliokuwa wakiliombea kundi hilo lisivunjike. Paul Okoye wa P-Square kupitia ukurasa wake wa Facebook jana ametangaza ujio wa album yao mpya ikiwa ni muda … Continue reading Ugomvi wa P- Square ilikuwa ni ‘Publicity stunt’? Muda
mfupi baada ya ‘amani’ kurejea watangaza ujio wa
album yao mpya!

DON JAZZY AWAZAWADIA MKOKO WA NGUVU MAHARUSI TIWA SAVAGE NA TEE BILLZ


Mwanamuziki Tiwa savage wa Nigeria na mume wake Tee Billz wamefanya sherehe ya ndoa yao jijini Dubai iliyohudhuriwa na idadi kubwa ya watu mashuhuri, ndugu, jamaa na marafiki kutoka sehemu tofauti, huku mwanamitindo daraja la kwanza kutoka Tanzania asiyekuwa na chembe ya skendo ‘Millen Magese’ alikuwawa miongoni mwa wageni waalikwa. kwa mujibu wa mtandao mmoja wa Nigeria unaoandika habari za mastaa ulisema ya kwamba Sherehe … Continue reading DON JAZZY AWAZAWADIA MKOKO WA NGUVU
MAHARUSI TIWA SAVAGE NA TEE BILLZ

Papa wawili watangazwa watakatifu


Papa Francis, kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Umati mkubwa wa watu wamekusanyika mjini Vatican kushuhudia tukio la kihistoria ambapo viongozi wawili wa zamani wa Kanisa Katoliki, Papa John Paul II na Papa John XXIII wametangazwa watakatifu. Ibada iliyoendeshwa kwa pamoja kati ya Papa Francis na mtangulizi wake Papa Benedict XVI imeangaliwa na karibu mahujaji milioni moja na wengine mamilioni ya watu kupitia matangazo ya televisheni … Continue reading Papa wawili watangazwa watakatifu

SNOOP DOGG, SHAQ NA MAGIC JOHSON WACHUKIZWA NA KAULI YA KIBAGUZI ILIYOTOLEWA NA MMILIKI WA CLIPPERS


Mmiliki wa Clippers Donald Sterling akiwa na mpenzi wake aliyekaa kushoto kwake Mmiliki wa timu ya mpira wa kikapu ya Los Angels Clippers ‘Donald Sterling’ amejikuta akiambulia matusi na kujishushia heshima yake kutoka kwa wamarekani weusi baada ya kauli za kibaguzi alizokuwa akimtolea mpenzi wake wakati wa mazungumzo kudakwa kwenye kinasa sauti hali iliyopelekea mastaa wakubwa kama vile Snoop Dogg, French Montanna, Kobe brayant, Shaq, … Continue reading SNOOP DOGG, SHAQ NA MAGIC JOHSON
WACHUKIZWA NA KAULI YA KIBAGUZI ILIYOTOLEWA NA
MMILIKI WA CLIPPERS

ZAMBIA YAOMBOLEZA KIFO CHA MTANGAZAJI GWIJI WA SOKA ‘DENNIS LIWEWE’ KWA SIKU TATU


Marehemu Dennis Liwewe Jamii ya wanamichezo hususani wapenzi wa mpira wa miguu nchini Zambia inaomboleza kifo cha mtangazaji gwiji wa soka mzee Dennis Liwewe ambaye aliwahi kuwa mwandishi wa habari za michezo wa BBC idhaa ya kiingereza katika kipindi cha Focus on Africa. Serikali ya Zambia imetangaza siku tatu za maombolezo huku bendera kupepea nusu mlingoti kwa heshima ya nguli huyo wa utangazaji. Utangazaji wa … Continue reading ZAMBIA YAOMBOLEZA KIFO CHA MTANGAZAJI GWIJI
WA SOKA ‘DENNIS LIWEWE’ KWA SIKU TATU

G7 yazidi kuibana zaidi Urusi


Askari wa Ukraine Viongozi wa nchi Saba tajiri kwa viwanda duniani G7 wamekubaliana kuongeza vikwazo zaidi kwa Urusi ambapo wamesema imezidi kuifanya Ukraine isitawalike. Ikulu ya White House ya Marekani imesema wataanza kuweka vikwazo hivyo haraka iwezekanavyo kuanzia siku ya jumatatu na wanatarajia kulenga biashara za binafsi na ambazo zina uhusiano na Rais Vladimir Putin wa Urusi. Viongozi hao wa G7 wameelezea kuguswa kwa na … Continue reading G7 yazidi kuibana zaidi Urusi