Reading Haile Selassie the Conquering Lion of the Tribe of Judah by Brian Buckner-El


KING OF KINGS, BLACK JEWISH.. TAFARAY MAKOÑNEN (HAILE SELASSIE)

Reading Haile Selassie the Conquering Lion of the Tribe of Judah by Brian Buckner-El

View on Path

Advertisements

PAUL OKOYE ANUNUA MKOKO MPYA AINA YA JEEP WRANGLER


image

Baada ya kuachia Video yao mpya ya ‘Taste The
Money’ inayofanya vizuri kwenye vituo
mbalimbali vya Luninga, Memba anayeunda
kundi la Psquare ‘Paul Okoye’ ameonyesha jeuri
ya pesa baada ya kununua mkoko mpya aina ya
’2014 Jeep Wrangler SUV’ na kuupachika jina la
utani ‘New Kid’ .
Hiyo Continue reading

BUNGE LAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA UJENZI 2014/2015


image

Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John P.
Magufuli (Mb) akiwakisilisha bajeti ya
Wizara ya Ujenzi Bungeni.
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania leo limepitisha Bajeti ya
Wizara ya Ujenzi yenye jumla ya
Shilingi 1,219,717,592,000.00 kwa ajili
ya matumizi ya Wizara kwa mwaka
wa fedha 2014/15.
Hatua hiyo ya Bunge kupitisha Bajeti
hiyo itawezesha Wizara ya Ujenzi
kutekeleza majukumu yake kwa
ufanisi na kuendeleza Sekta ya Ujenzi
hapa nchini.
Akiwasilisha hotuba ya bajeti hiyo
jana, Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John
Pombe Magufuli (Mb), alieleza kuwa
kati ya fedha hizo Shilingi
557,483,563,000.00 ni kwa ajili ya
matumizi ya kawaida ambazo
zinajumuisha Shilingi 24,338,319,000.00
za mishahara ya Watumishi (PE),
Shilingi 6,944,846,000.00 za matumizi
mengineyo (OC) na Shilingi
526,200,400,000.00 kwa ajili ya Mfuko
wa Barabara.
Akifafanua kuhusu bajeti ya
Maendeleo iliyotengewa Shilingi
662,234,027,000.00, Mhe. Magufuli
ameeleza kuwa, kati ya fedha hizo
Shilingi 450,000,000,000.00 ni fedha za
ndani za miradi ya maendeleo na
Shilingi 212,234,027,000.00 ni fedha za
nje za miradi ya maendeleo.
Wizara ya Ujenzi ina majukumu
yafuatayo, Kusimamia Sera za ujenzi
na usalama barabarani, Ujenzi na
matengenezo ya barabara, madaraja
na Continue reading