Mwanasiasa maarufu akamatwa Ireland


Polisi huko Ireland Kazkazini wamemkamata mwanasiasa mashuhuri wa chama cha Sinn Fein ,Gerry Adams kwa kuhusishwa na mauaji yaliyotokea yapata zaidi ya miaka 40 iliyopita. Adams anahojiwa kuhusu mauaji ya Jean McConville ambaye alitekwanyara na kundi la waasi la IRA mnamo mwaka 1972 na kisha akapatikana amepigwa risasi na kuuawa . Kiongozi huyo amekanusha kuhusika kivyovyote vile akisema kuwa alijipeleka binafsi kuzungumza na polisi ilikujaribu … Continue reading Mwanasiasa maarufu akamatwa Ireland