VIDEO MPYA YA SAUTI SOL ‘NISHIKE’ YAFUNGIWA KUCHEZWA KWENYE VITUO VYA TV NCHINI KENYA


Ikiwa ni siku mbili zimepita tangu Video mpya ya kundi la Sauti Sol inayoitwa ‘nishike’ kuachiwa ,mamlaka ya Kenya imeifungia video hiyo kuonyeshwa kwenye vituo vya televisheni nchini humo kwa kile kilichodaiwa kuwa na picha nyingi zisizokuwa na maadili. Akifafanua suala hilo hapo jana kwenye sherehe za utoaji wa Tuzo za Mdundo, kiongozi kinara wa kundi hilo aitwae ‘Bienaime’ alisema video yao imefungiwa kutokana na … Continue reading VIDEO MPYA YA SAUTI SOL
‘NISHIKE’ YAFUNGIWA KUCHEZWA
KWENYE VITUO VYA TV NCHINI
KENYA

Tuzo za KTMA 2014 kurushwa live kwenye vituo vitatu vya runinga


Tuzo za muziki za Tanzania, KTMA 2014 zitarushwa live kwenye vituo vitatu vya runinga nchini. Meneja wa bia ya Kilimanjaro, George Kavishe amevitaja vituo hivyo kuwa ni pamoja na Clouds TV, EATV na Star TV. Ugawaji wa tuzo za hizo utafanyika Jumamosi hii kuanza saa tatu usiku kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. source: bongo5 Continue reading Tuzo za KTMA 2014 kurushwa live kwenye vituo vitatu
vya runinga

Clouds Media yapata leseni ya urushaji wa matangazo katika nchi za falme za kiarabu


Kampuni ya Clouds Media International leo imetangaza kuwa imepewa leseni ya kurusha matangazo katika nchi za umoja wa falme za kiarabu (UAE). Akielezea kuhusu leseni hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo Bwana Joseph Kusaga, amesema sasa kituo cha Clouds TV kimataifa kitakuwa kikishuhudiwa na watu wa mataifa mbalimbali. Joseph Kusaga Clouds TV kimataifa ni mwendelezo wa televisheni maarufu sana kwa vijana nchini Tanzania, hata hivyo … Continue reading Clouds Media yapata leseni ya urushaji wa matangazo
katika nchi za falme za kiarabu

T.I NA THE GAME WAZOZANA NA MAPOLISI, BAADA YA WAPAMBE WAO KUPASULIWA


The Game na T.I Rapa anayetokea Compton Marekani ‘The Gam’e pamoja na mwanamuziki mwenzake wa HipHop anayewakilisha jiji la Atlanta ‘T.I’ walijikuta wakiingia katika mzozo na askari polisi kufuatia washikaji zao kuchezea kichapo cha mbwa mwizi toka kwa mabaunsa wa klabu moja ya usiku inayoitwa SuperbClub. Ishu hiyo ilitokea baada ya kundi moja la watu waliodaiwa kufahamiana na mastaa hao kukataliwa katakata kuingia ndani ya … Continue reading T.I NA THE GAME WAZOZANA NA MAPOLISI,
BAADA YA WAPAMBE WAO KUPASULIWA