T.I NA THE GAME WAZOZANA NA MAPOLISI, BAADA YA WAPAMBE WAO KUPASULIWA


image

The Game na T.I
Rapa anayetokea Compton Marekani ‘The Gam’e
pamoja na mwanamuziki mwenzake wa HipHop
anayewakilisha jiji la Atlanta ‘T.I’ walijikuta wakiingia
katika mzozo na askari polisi kufuatia washikaji zao
kuchezea kichapo cha mbwa mwizi toka kwa mabaunsa
wa klabu moja ya usiku inayoitwa SuperbClub.
Ishu hiyo ilitokea baada ya kundi moja la watu
waliodaiwa kufahamiana na mastaa hao kukataliwa
katakata kuingia ndani ya ukumbi huo wa starehe, hali
iliyopelekea kuwepo kwa majibizano na kumfanya
mmoja wa wanakundi hao kumrushia konde zito
baunsa aliyekuwa akiwazuia kujikuta wakitapakaa
damu baada ya mabaunsa hao kuwageuzia kibao na
kupelekea polisi waliokuwa zamu kuingilia kati.
Baada ya Mapolisi wa kitengo cha Los Angels Police
Department LAPD kuwasili eneo la tukio ndio
walikutana uso kwa uso na T.I aliyekuwa sambamba na
The game pamoja na wapambe wao, huku marapa hao
wakiwalalamikia polisi hao kuhusika kwa namna moja
au nyingine katika ugomvi huo, jambo ambalo halikuwa
na ukweli wowote.
Tazama Video hapo chini ya tukio hilo

http://youtu.be/slrZclKkNf4

Advertisements