Tuzo za KTMA 2014 kurushwa live kwenye vituo vitatu vya runinga


Tuzo za muziki za Tanzania, KTMA 2014 zitarushwa live
kwenye vituo vitatu vya runinga nchini.

image

Meneja wa bia ya Kilimanjaro, George Kavishe
amevitaja vituo hivyo kuwa ni pamoja na Clouds TV,
EATV na Star TV.
Ugawaji wa tuzo za hizo utafanyika Jumamosi hii
kuanza saa tatu usiku kwenye ukumbi wa Mlimani City
jijini Dar es Salaam.
source: bongo5

Advertisements