FUATILIA HAPA LIVEEEE TUZO ZA KILIMANJARO MLIMANI CITY MDA HUUU


Kwa wewe ambaye utakuwa mbali na TV yako tunakuletea moja kwa moja usiku wa tuzo katika simu au kompyuta yako. Fuatilia kupitia http://www.kililager.com/KTMA / http://www.dj- sek.blogspot.com/2014/05/ fuatilia-hapa-liveeee-tuzo- za.html#.U2UKVqKjL64 kuanzia saa moja jioni wakati Jokate na Millard Ayo wakiwahoji mastaa wanaoingia katika Red Carpet na baadae ikifuatiwa na mahojiano na wale washindi pia zoezi zima la utoaji tuzo. PIA KWA WENYE SMART PHONES TUMIA LINK HIZO … Continue reading FUATILIA HAPA LIVEEEE TUZO ZA
KILIMANJARO MLIMANI CITY MDA
HUUU