FUATILIA HAPA LIVEEEE TUZO ZA KILIMANJARO MLIMANI CITY MDA HUUU


image

Kwa wewe ambaye utakuwa
mbali na TV yako tunakuletea
moja kwa moja usiku wa tuzo
katika simu au kompyuta
yako. Fuatilia kupitia
http://www.kililager.com/KTMA /
http://www.dj-
sek.blogspot.com/2014/05/
fuatilia-hapa-liveeee-tuzo-
za.html#.U2UKVqKjL64
kuanzia saa moja jioni wakati
Jokate na Millard Ayo
wakiwahoji mastaa
wanaoingia katika Red Carpet
na baadae ikifuatiwa na
mahojiano na wale washindi
pia zoezi zima la utoaji tuzo.
PIA KWA WENYE SMART
PHONES TUMIA LINK HIZO
HAPO
Kupata app ya KTMA kwenye
simu
Bofya moja ya yafuatayo
kuenda kwenye App store ya
simu yako
iPhone – http://
bit.ly/1i4FND6
Android – http://
bit.ly/1lKMdbJ
BlackBerry – http://
bit.ly/1moEFhQ

Post kwa hisani ya Djsek blog source & credit: Djsek

Advertisements