HIVI NDIVYO DIAMOND ALIVYOWASHUKURU MASHABIKI WALIOMUWEZESHA KUNYAKUA TUZO 7 ZA KTMA 2014


Daima mtu anayepewa chakula na baada ya kushiba akasema asante huyo anachukuliwa kuwa ni muungwana, hivyo ndivyo alivyofanya Rais wa serikali ya watu wasafi Tanzania, Diamond Platnumz aliyeweka Rekodi ya kuwa msanii pekee wa kwanza Tanzania kuweza kunyakua Tuzo nyingi za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2014 tangu kuanzishwa kwake yapata miaka 14 iliyopita. Ushindi huo wa kishindo umemfanya Diamond avunje rekodi zilizowahi kuwekwa na kaka … Continue reading HIVI NDIVYO DIAMOND ALIVYOWASHUKURU
MASHABIKI WALIOMUWEZESHA KUNYAKUA TUZO 7 ZA
KTMA 2014