VIDEO : KANYE WEST AMPA SHAVU LA KUMSIKILIZA SHABIKI ALIYEDAI ANAUWEZO WA KUCHANA ZAIDI YAKE


Kanye akimsikiliza shabiki aliyekuwa akiimba mbele yake. Rapa na Mmiliki wa lebo ya GOOD Music ‘Kanye West’ mwishoni mwa wiki aliamua kumpatia nafasi ya kumsikiliza shabiki mmoja aliyeonekana kuwa msanii asiye na jina wa miondoko ya kufokofoka, wakati alipokuwa akirudi kwenye makazi yake aliyokuwa amepanga ya Soho eneo la west Hoolwood, mjini Los Angels, Marekani, Akiwa ameongozana sambamba na mpenzi wake Kim Kardashian, kijana mmoja … Continue reading VIDEO : KANYE WEST AMPA SHAVU LA KUMSIKILIZA
SHABIKI ALIYEDAI ANAUWEZO WA KUCHANA ZAIDI
YAKE

Profesa J na Jose Chameleon waingia studio kufanya wimbo mpya


Joseph Haule aka Profesa J na Jose Chameleone ni marafiki wa siku nyingi. Chameleone aliwahi kutumia beat ya wimbo wake ‘Nikusaidieje’ kurekodi wimbo aliomshrikisha mdogo wake Weasel, Bomboclat. Na sasa Jose hao wawili wamekutana kufanya wimbo wa pamoja. Proffesor Jay,Jose Chameleon ,Lamar na Villy wakiwa studio Kupitia Instagra, Profesa Jay ameandika: Ndani ya Mwanalizombe Studio usiku sana,Professor Jay Josechameleon @lamarfishcrab @producer villy,Shidaa mpya inakuja!!! STAY … Continue reading Profesa J na Jose Chameleon waingia studio kufanya
wimbo mpya

MTOTO WA PETER WA PSQUARE AWAPA UJUMBE MZITO WANAMGAMBO WA BOKO HARAM


Wakati nchi ya Nigeria ikiwa kwenye hali ya simanzi kufuatia kupotelewa kwa wanafunzi 234 wa shule ya kike ya bweni iliyopo eneo la Chibok katika mji mkuu wa nchi hiyo Abuja. Familia ya mwanamuziki ‘Peter Okoye’ anayeunda kundi la Psquare iliweza kumtumia mtoto wao wa kiume ‘Cameroon Peter Okoye’ kuweza kufikisha ujumbe kwa watu wanaowashikilia wanafunzi hao. ”My name is Cameroon Okoye, Please bring back … Continue reading MTOTO WA PETER WA PSQUARE AWAPA UJUMBE
MZITO WANAMGAMBO WA BOKO HARAM