Mtanzania mwingine akamatwa Airport Nairobi akiwa na mzigo wa dawa za kulevya.


Mwanaume mmoja Mtanzania amekamwata katika uwanja wa kimataifa wa Jomo Kenyatta Nairobi Kenya akiwa amebeba dawa za kulevya akiwa njiani kuelekea Antananarivo ambapo mzigo huo ulitokea Tanga kisha ukapita Mombasa na baadae kwa ndege mpaka Nairobi. Mzigo wenyewe ni wa cocaine na Heroin ambazo zote zina thamani ya zaidi ya shilingi milioni 24 za Kitanzania na dawa hizo alikua ameziingiza katika njia ya haja kubwa. … Continue reading Mtanzania mwingine akamatwa
Airport Nairobi akiwa na mzigo wa
dawa za kulevya.

Lebron JAMES, Mwanamichezo anaelipwa pesa nyingi sana Duniani


LeBron James na Miami Heat ndio “the favorites in Las Vegas” ambao wameshinda ’2014 NBA title’ baada ya kuwatwanga ‘Charlotte Bobcats’ katika round ya kwanza ya “playoffs”. Huu ni ushindi wa mara ya 3 mfurulizo kwa Lebron na timu yake. James anaikamata tena MVP Award ya mwaka huu baada ya kushinda bikombe 4 kati ya 5. King James ndio TOP wa “NBA’s endorser” ambapo anajipatia … Continue reading Lebron JAMES, Mwanamichezo
anaelipwa pesa nyingi sana Duniani

#BRINGBACKOURGIRLS : MASTAA WA NIGERIA WAUNGANA NA WAANDAMANAJI KUISHINIKIZA SERIKALI KUWAREJESHA WANAFUNZI WA KIKE 234 WALIOTEKWA NA BOKO HARAM


Vilio vya wazazi bado vinaendelea nchini Nigeria kufuatia tukio la mabinti wapatao 200 waliokuwa wakisoma katika shule moja ya bweni iliyoko katika mji mkuu wa Abuja, eneo la Chibok katika kitongoji cha Borno kutekwa na watu wanaodaiwa kuwa ni wanamgambo wa kikundi cha Boko Haram . Masupastaa wengi nchini humo tayari wameshajiunga kwenye kampeni iliyopewa jina la # BringBackOurGirls inayohamasisha kikundi hicho kuwaachia huru wasichana … Continue reading #BRINGBACKOURGIRLS : MASTAA
WA NIGERIA WAUNGANA NA
WAANDAMANAJI KUISHINIKIZA
SERIKALI KUWAREJESHA
WANAFUNZI WA KIKE 234
WALIOTEKWA NA BOKO HARAM