Lebron JAMES, Mwanamichezo anaelipwa pesa nyingi sana Duniani


image

LeBron James na Miami Heat ndio
“the favorites in Las Vegas” ambao
wameshinda ’2014 NBA title’ baada
ya kuwatwanga ‘Charlotte Bobcats’
katika round ya kwanza ya “playoffs”.
Huu ni ushindi wa mara ya 3
mfurulizo kwa Lebron na timu yake.
James anaikamata tena MVP Award
ya mwaka huu baada ya kushinda
bikombe 4 kati ya 5.
King James ndio TOP wa “NBA’s
endorser” ambapo anajipatia kiasi
cha $42 Million kwa “endorsement”
peke yake. ‘Nike’ peke yake, waliuza
kiasi cha $300 million za “James’
signature sneakers” ndani ya U.S. Tu,
ukiringanisha na $175 million
alizouza Kevin Durant, King James
amepata endorsement za kampuni
kubwa sana duniani na kati ya hizo
kampuni kubwa ni DUNKIN &
DONUTS, NIKe, CoCACOLA na
SAMSUNG. kutokana na
SportsOneSource, King James is “the
world’s highest-paid athletes”.