LUPITA NYONG’O APIGA CHATA IKULU YA MAREKANI, AKUTANA USO KWA USO NA RAIS OBAMA NA MKEWE


Pichani wa kwanza kulia ni mama mzazi wa Lupita Nyong’o, Rais wa marekani Barack Obama, Lupita Nyong’o na Michelle Obama. Mshindi wa Tuzo ya Oscar, mwigizaji mwenye asili ya Kenya ‘Lupita Nyong’o’ ameweza kupata nafasi ya kupiga stori mbili tatu kwa lugha ya kiswahili na Rais wa Marekani ‘Barack Obama’ baada ya kupata mualiko rasmi wa chakula cha jioni kutoka katika ikulu ya Marekani maarufu … Continue reading LUPITA NYONG’O APIGA CHATA
IKULU YA MAREKANI, AKUTANA USO
KWA USO NA RAIS OBAMA NA
MKEWE

MTOTO WA DIDDY ATINGA KWENYE MAHAFALI NA NDINGA YA BEI MBAYA


Wahenga wanasema kitanda hakizai haramu na mtoto wa nyoka ni nyoka.. Rapa milionea na mmiliki wa kinywaji cha Ciroc Vodka ‘Sean Combs’ AKA P.Diddy ameonyesha jeuri ya pesa baada ya kumpatia mwanae wa kiume Christian Combs (16) mkoko wa bei chafu aina ya Maybach, kuuzia nao sura kwenye mahafali ya kuhitimu masomo yake. ”My son who is a sophomore going to his first senior prom. … Continue reading MTOTO WA DIDDY ATINGA KWENYE
MAHAFALI NA NDINGA YA BEI
MBAYA

APPLE KUINUNUA KAMPUNI YA DR DRE ‘BEATS ELECTRONICS’ KWA DOLA BILIONI 3.2!


Dr. Dre yupo njiani kuwa rapper wa kwanza BILLIONAIRE pale kampuni ya Apple itakapoinunua kampuni yake yake Beats Electronics. Kwa mujibu wa TMZ, Apple inadaiwa itainunua Beats kwa gharama ya $ 3.2 BILLION. Dre na mwanzilishi wa Interscope, Jimmy Iovine ndio walioanzisha kampuni hiyo. Dre na Jimmy walianzisha kampuni hiyo mwaka 2008 kwa kutengeneza headphone lakini sasa wanatengeneza pia spika, vifaa vya sauti vya kwenye … Continue reading APPLE KUINUNUA KAMPUNI YA DR
DRE ‘BEATS ELECTRONICS’ KWA
DOLA BILIONI 3.2!

MKE WA RAIS WA MAREKANI ‘MICHELLE OBAMA’ AUNGA MKONO KAMPENI YA #BRINGBACKOURGIRLS


Kampeni ya #bringBackOurGirls imeonekena kugusa hisia za watu wengi hali iliyopelekea kuungwa mkono na watu mbalimbali mashuhuri hasa wale wanaojua uchungu wa mwana akiwemo mke wa Rais wa Marekani Michelle Obama, pamoja na wanamuziki kama vile LudaCris, J ohn Legend, Naomi Campbell, Jamie Foxy, Drake, Justine TimberLake, Alicia Keys, 2Face na wengine kibao. Kwa huzuni kabisa, mastaa waliotajwa hapo juu waliweza kuweka ujumbe kwenye akaunti … Continue reading MKE WA RAIS WA MAREKANI ‘MICHELLE OBAMA’
AUNGA MKONO KAMPENI YA #BRINGBACKOURGIRLS