MTOTO WA DIDDY ATINGA KWENYE MAHAFALI NA NDINGA YA BEI MBAYA


image

Wahenga wanasema kitanda hakizai
haramu na mtoto wa nyoka ni
nyoka.. Rapa milionea na mmiliki wa
kinywaji cha Ciroc Vodka ‘Sean
Combs’ AKA P.Diddy ameonyesha
jeuri ya pesa baada ya kumpatia
mwanae wa kiume Christian Combs
(16) mkoko wa bei chafu aina ya
Maybach, kuuzia nao sura kwenye
mahafali ya kuhitimu masomo yake.
”My son who is a sophomore going
to his first senior prom. Man life is
moving faster than a m*thaf**ker!
Have fun tonight @Kingcombs and
don’t do anything I would do! Lol
Love you King!! #CombsFamily #
KingCombs” aliandika Diddy kwenye
ukurasa wake wa Instagram na kisha
kuposti picha ya kijana akiwa
amepozi kwenye 1.2 milioni dollar
Car

image

Christian Combs akiwa ametokelezea
kwenye Maybach ya mshua wake

Advertisements