Video Mpya Ya Trey Songz – Smart Phones [Official Video]” on YouTube


Trey Songz ametoa video ya wimbo wake mpya “SmartPhones” inayotoa piha halisi ya kijana anayeishi maisha ya starehe,burudani na ngono nyingi mpaka kupelekea kupoteza mpenzi wake na mahusiano yake kuharibika. Trey katikati ya video anabadilisha mawazo na kurudi nyumbani kuokoa mahusino yake. Trey Songz – SmartPhones [Official Video]: http://youtu.be/7sExF5B4G-U Continue reading Video Mpya Ya Trey Songz
– Smart Phones [Official Video]” on YouTube

Young Jeezy Atangaza Album Ya Tano.


Raper Young Jeezy ametangaza ujio wa album yake ya tano chini ya record lebel ya Jay Z ‘Roc Naion’ kuwa itaitwa “Seen It All”. Kwenye interview aliyofanya Jezzy Amesema baada ya miaka 10 kwenye game ameona yote kuhusu muziki Duniani. Nimepitia na kukutana na mengi na watu kama Birdman, Jay Z au Puff Daddy watatoa ushuhuda kuhusu hilo. Cd ya Seen It All ni muendelezo … Continue reading Young Jeezy Atangaza Album Ya Tano.