Young Jeezy Atangaza Album Ya Tano.


image

Raper Young Jeezy ametangaza ujio wa album yake ya
tano chini ya record lebel ya Jay Z ‘Roc Naion’ kuwa
itaitwa “Seen It All”. Kwenye interview aliyofanya Jezzy
Amesema baada ya miaka 10 kwenye game ameona
yote kuhusu muziki Duniani. Nimepitia na kukutana na
mengi na watu kama Birdman, Jay Z au Puff Daddy
watatoa ushuhuda kuhusu hilo. Cd ya Seen It All ni
muendelezo wa album yake ya nne ya mwaka 2011
iliyoitwa TM:103 Hustlerz Ambition.

Advertisements