Orodha ya wasanii wa Kili Music Tour 2014


Ile orodha ya wasanii watakaoshiriki
kwenye Kili Music Tour 2014
imetangazwa leo. Kwa mwaka huu
zaidi ya wasanii 30 watashiriki
katika ziara hiyo kwenye mikoa zaidi
ya 10 nchini na itakayoanza ambao
Mei hadi Septemba 2014. Wasanii
hao ni pamoja na Diamond, Continue reading “Orodha ya wasanii wa Kili Music
Tour 2014”