Orodha ya wasanii wa Kili Music Tour 2014


Ile orodha ya wasanii watakaoshiriki
kwenye Kili Music Tour 2014
imetangazwa leo. Kwa mwaka huu
zaidi ya wasanii 30 watashiriki
katika ziara hiyo kwenye mikoa zaidi
ya 10 nchini na itakayoanza ambao
Mei hadi Septemba 2014. Wasanii
hao ni pamoja na Diamond,
Ommy
Dimpoz, Linex, Proffesor Jay, Izzo
Biznes, Kala Jeremiah, Fid Q, Snura,
Weusi, Ben Pol, Mzee Yusuph, Shilole
na Mwasiti.

image

Hawa ni baadhi ya wasanii
watakaokuwepo kwenye ziara hiyo
wakiwe kwenye picha ya pamoja
Wengine ni Nay wa Mitego, Mwana
FA, Khadija Kopa, Juma Nature,
Warriors From the East, Madee,
Young Killer, Jambo Squad, AY,
Vanessa Mdee, Mashujaa Band, Rich
Mavoko na Christian Bella.

Advertisements