Kikosi Cha Argentina Kwenye Kombe La Dunia, Waliochaguliwa Na Walioachwa.


image

Nahodha – Lionel Messi
Walinda mlango Na Timu
Wanazotoka-Sergio Romero
(Monaco*), Mariano Andujar
(Catania*), Agustin Orionu (Boca)
Mabeki Na Timu Wanazotoka –
Ezequiel Garay (Benfica), Federico

Fernandez (Napoli), Pablo Zabaleta
(Manchester City), Marcos Rojo
(Sporting), Jose Maria Basanta
(Monterrey), Hugo Campagaro (Inter),
Nicolas Otamendi (Atletico Mineiro*),
Martin Demichelis (Manchester City),
Gabriel Mercado (River), Lisandro
Lopez (Getafe*)
Viungo Na Timu Wanazotoka –
Fernando Gago (Boca*), Lucas Biglia
(Lazio), Javier Mascherano
(Barcelona), Ever Banega (Newell’s*),
Angel Di Maria (Real Madrid),
Maximiliano Rodriguez (Newell’s),
Ricardo Alvarez (Inter), Augusto
Fernandez (Celta), Enzo Perez
(Benfica), Jose Sosa (Atletico
Madrid*), Fabian Rinaudo (Catania)
Mashambulizi yatafanywa na
Washambuliaji hawa Na Timu
Wanazotoka – Sergio Aguero
(Manchester City), Lionel Messi
(Barcelona), Gonzalo Higuain
(Napoli), Ezequiel Lavezzi (Paris
Saint-Germain), Rodrigo Palacio
(Inter), Franco Di Santo (Werder
Bremen)
Fahamu Kocha wa timu ya Taifa ya
Argentina Sabella amemwacha
Carlos Tevez kwenye kikosi hichi
licha ya kuonyesha game nzuri
kwenye ligi ya Seria A.