Kikosi Cha Awali Cha Colombia Kwenye Kombe La Dunia,Waliochaguliwa


image

Kocha wa Timu ya taifa ya Colombia
Jose Pekerman ametaja timu ya taifa
itakaycheza kombe la dunia 2014.

Ukiacha wachezaji wengine
waliotegemewa, Radamel Falcao
alikuwa mguu nje mguu ndani baada
ya kuumia vibaya kwenye goti
mwanzo wa mwaka huu.
Rekodi- Falcao ameifungia nchi yake
mabao 9 kwenye game 13 za
kuwania kufuzu kombe la dunia.
Game ya kwanza ya Colombia
kwenye kombe la dunia itakuwa dhidi
ya Ugiriki kwenye kundi C Tarehe 14
June.
Walioitwa Kwenye Kikosi Ndio Hawa.
Walinda mango Na Timu
Wanazotoka- Faryd Mondragon
(Deportivo Cali), David Ospina (Nice),
Camilo Vargas (Independiente Santa
Fe)
Walinzi Na Timu Wanazotoka-
Santiago Arias (PSV), Pablo Armero
(Napoli), Eder Alvarez Balanta (River
Plate), Aquivaldo Mosquera
(America), Luis Perea (Cruz Azul),
Carlos Valdes (San Lorenzo), Mario
Yepes (Atalanta), Cristian Zapata
(Milan), Camilo Zuniga (Napoli)
Viungo Na Timu Wanazotoka- Abel
Aguilar (Toulouse), Juan Cuadrado
(Fiorentina), Fredy Guarin (Inter),
Victor Ibarbo (Cagliari), Alex Mejia
(Atletico Nacional), Juan Fernando
Quintero (Porto), Aldo Ramirez
(Morelia), James Rodriguez
(Monaco), Carlos Sanchez Moreno
(Elche), Elkin Soto (Mainz), Macnelly
Torres (Al Shabab), Edwin Valencia
(Fluminense)
Washambuliaji Na Timu
Wanazotoka- Carlos Bacca (Sevilla),
Radamel Falcao (Monaco), Teofilo
Gutierrez (River), Jackson Martinez
(Porto), Luis Muriel (Udinese), Adrian
Ramos (Hertha Berlin)