DIAMOND AZIDI KUNG’ARA, ATAJWA KUWANIA TUZO ZA BET AWARDS 2014


image

Tangu aweke rekodi ya kuzoa tuzo 7
za KTMA pamoja na kuchaguliwa
kuwania Tuzo za KORA na zile za
MTV MAMA, mshika kipaza wa
Tanzania ‘Diamond Platnumz’
ameendelea kuipeperusha vyema
bendera ya Tanzania baada ya
kuchaguliwa kwa mara ya kwanza
kuwania Tuzo kubwa kabisa za watu
weusi Continue reading “DIAMOND AZIDI KUNG’ARA, ATAJWA
KUWANIA TUZO ZA BET AWARDS
2014”