BUNGE LAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA UJENZI 2014/2015


image

Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John P.
Magufuli (Mb) akiwakisilisha bajeti ya
Wizara ya Ujenzi Bungeni.
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania leo limepitisha Bajeti ya
Wizara ya Ujenzi yenye jumla ya
Shilingi 1,219,717,592,000.00 kwa ajili
ya matumizi ya Wizara kwa mwaka
wa fedha 2014/15.
Hatua hiyo ya Bunge kupitisha Bajeti
hiyo itawezesha Wizara ya Ujenzi
kutekeleza majukumu yake kwa
ufanisi na kuendeleza Sekta ya Ujenzi
hapa nchini.
Akiwasilisha hotuba ya bajeti hiyo
jana, Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John
Pombe Magufuli (Mb), alieleza kuwa
kati ya fedha hizo Shilingi
557,483,563,000.00 ni kwa ajili ya
matumizi ya kawaida ambazo
zinajumuisha Shilingi 24,338,319,000.00
za mishahara ya Watumishi (PE),
Shilingi 6,944,846,000.00 za matumizi
mengineyo (OC) na Shilingi
526,200,400,000.00 kwa ajili ya Mfuko
wa Barabara.
Akifafanua kuhusu bajeti ya
Maendeleo iliyotengewa Shilingi
662,234,027,000.00, Mhe. Magufuli
ameeleza kuwa, kati ya fedha hizo
Shilingi 450,000,000,000.00 ni fedha za
ndani za miradi ya maendeleo na
Shilingi 212,234,027,000.00 ni fedha za
nje za miradi ya maendeleo.
Wizara ya Ujenzi ina majukumu
yafuatayo, Kusimamia Sera za ujenzi
na usalama barabarani, Ujenzi na
matengenezo ya barabara, madaraja
na Continue reading “BUNGE LAPITISHA BAJETI YA WIZARA
YA UJENZI 2014/2015”

DAKIKA14: ZA VIDEO YA MAZISHI YA ADAM KUAMBIANA JANA TAREHE 20/05/2014 JUMANNE…..” on YouTube


Mazishi ya mwongozaji na mwigizaji wa filamu Bongo, Adam Kuambiana yamefanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar siku ya jana. Kabla ya mazishi mwili wa marehemu uliagwa na maelfu ya watu pamoja na watu mashuhuri pamoja na viongozi wa kisiasa nchini katika Viwanja vya Leaders jijini Dar. Mungu ailaze roho ya marehemu, mahali pema peponi. AMEN! Continue reading DAKIKA14: ZA VIDEO YA MAZISHI YA ADAM
KUAMBIANA JANA TAREHE 20/05/2014 JUMANNE…..” on YouTube

PIGA KOPE KTK KIDEO CHA “MB DOG — MBONA UMENUNA (OFFICAL VIDEO)” on YouTube


Ukamilifu wa video hii ambayo picha zake niliziweka hapa wiki chache zilizopita ni huu hapa japo video hii ilikamilika wiki kadhaa nyuma lakini walikua wakisubiri muda sahihi wa kuitoa, ukisha itazama usiache kuandika comment yako alafu baadae MB Dogg atapita kusoma watu wake wamemuandikia nini. Bonyeza play kutazama. Continue reading PIGA KOPE KTK KIDEO CHA “MB DOG — MBONA UMENUNA (OFFICAL VIDEO)” on YouTube

HAYA NDIO MAPYA KUHUSU NDEGE YA MALAYSIA ILIYOTOWEKA ANGANI


Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia amesema Shirika Kuu la Kijasusi la Marekani CIA linaficha maelezo muhimu kuhusu hatima ya ndege ya Malaysia iliyotoweka. Katika taarifa aliyochapisha katika weblogu yake siku ya Jumapili, Mahathir Mohammad amesema CIA na shirika la utengenezaji ndege la Marekani, Boeing, kwa pamoja zinaficha maelezo kuhusu ndege iliyotoweka. Aidha amesema ni jambo la kushangaza kuona vyombo vikubwa vya habari duniani havifuatlii … Continue reading HAYA NDIO MAPYA
KUHUSU NDEGE YA MALAYSIA
ILIYOTOWEKA ANGANI

Kumbukumbu ya miaka 18 toka kuzama kwa MV Bukoba


RIPOTI ya Tume ya Jaji Robert Kisanga,
iliyochunguza chanzo cha ajali ya mv
Bukoba, inasema usiku wa kuamkia
siku ya ajali, meli hiyo ilipakia abiria
kati ya 750 na 800 pamoja na
wafanyakazi 37.
Kati ya hao, 114 waliokolewa wakiwa
hai; wakati 391 waliopolewa wakiwa
wamefariki na kuzikwa katika
makaburi ya Igoma, nje kidogo ya Jiji
la Continue reading “Kumbukumbu ya miaka 18 toka kuzama
kwa MV Bukoba”

WANAFUNZI WA KENYA WAPIGANA NA POLISI KUPINGA ADA KUONGEZWA


image

Wanafunzi walitawanywa kwa kutumia gesi ya
kutoa machozi
Wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Kenya wamezua
vurugu wakipinga mpango wa serikali kutaka
kuongeza karo katika vyuo vikuu vyote vya
umma.

image

image

Polisi walipambana na wanafunzi hao kwa Continue reading “WANAFUNZI WA
KENYA WAPIGANA NA POLISI
KUPINGA ADA KUONGEZWA”