DAKIKA14: ZA VIDEO YA MAZISHI YA ADAM KUAMBIANA JANA TAREHE 20/05/2014 JUMANNE…..” on YouTube


Mazishi ya mwongozaji na mwigizaji wa filamu
Bongo, Adam Kuambiana yamefanyika katika
makaburi ya Kinondoni jijini Dar siku ya jana.
Kabla ya mazishi mwili wa marehemu uliagwa
na maelfu ya watu pamoja na watu mashuhuri
pamoja na viongozi wa kisiasa nchini katika
Viwanja vya Leaders jijini Dar. Mungu ailaze
roho ya marehemu, mahali pema peponi. AMEN!