PAUL OKOYE ANUNUA MKOKO MPYA AINA YA JEEP WRANGLER


image

Baada ya kuachia Video yao mpya ya ‘Taste The
Money’ inayofanya vizuri kwenye vituo
mbalimbali vya Luninga, Memba anayeunda
kundi la Psquare ‘Paul Okoye’ ameonyesha jeuri
ya pesa baada ya kununua mkoko mpya aina ya
’2014 Jeep Wrangler SUV’ na kuupachika jina la
utani ‘New Kid’ .
Hiyo Continue reading “PAUL OKOYE ANUNUA MKOKO MPYA AINA
YA JEEP WRANGLER”

Advertisements

Album mpya ya Michael Jackson ‘Xscape’ yakamata namba 2 kwenye Billboard 200


image

Miaka mitano baada ya kifo chake, mfalme wa
pop amerejea kwenye chart kwa album yake,
Xscape.
Album hiyo yenye nyimbo nane imeuza kopi
157,000 na Continue reading “Album mpya ya Michael Jackson
‘Xscape’ yakamata namba 2
kwenye Billboard 200”

Kesi ya kutorosha Twiga: Mwandishi jela baada ya aliyemdhamini kutoroka


image

Moshi. Mwandishi wa habari wa siku
nyingi, Peter Temba amehukumiwa
kifungo cha miezi sita jela baada ya
kushindwa kumpeleka mahakamani
mshtakiwa aliyemdhamini katika kesi
ya kutorosha twiga kwenda Uarabuni.
Mwandishi huyo anayeandikia Gazeti
la Continue reading “Kesi ya kutorosha Twiga: Mwandishi jela
baada ya aliyemdhamini kutoroka”