PAUL OKOYE ANUNUA MKOKO MPYA AINA YA JEEP WRANGLER


image

Baada ya kuachia Video yao mpya ya ‘Taste The
Money’ inayofanya vizuri kwenye vituo
mbalimbali vya Luninga, Memba anayeunda
kundi la Psquare ‘Paul Okoye’ ameonyesha jeuri
ya pesa baada ya kununua mkoko mpya aina ya
’2014 Jeep Wrangler SUV’ na kuupachika jina la
utani ‘New Kid’ .
Hiyo
inaonyesha wazi ni jinsi gani sanaa ya
muziki inavyowatendea haki na kuwatajirisha
mapacha hao kwani ni miezi mitatu kupita tangu
Peter Okoye anunue gari la kifahari aina ya
Bentley GT toleo la mwaka 2014 lililomgharimu
takribani Naira milioni 30 ambazo ni sawa na
milioni 300 za kitanzania.
”Ma new baby on da block. My wifey Anita is
really gonna get jealous of my new baby tho.
Even Onyinye Mike is getting over-jealous.
Hehehe! #Testimony o_o” aliandika Paul Okoye
kwenye ukurasa wake wa Instagram….

image

Mkoko mpya wa Paul Okoye aina ya Jeep
Wrengler