DAKIKA14: ZA VIDEO YA MAZISHI YA ADAM KUAMBIANA JANA TAREHE 20/05/2014 JUMANNE…..” on YouTube


Mazishi ya mwongozaji na mwigizaji wa filamu Bongo, Adam Kuambiana yamefanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar siku ya jana. Kabla ya mazishi mwili wa marehemu uliagwa na maelfu ya watu pamoja na watu mashuhuri pamoja na viongozi wa kisiasa nchini katika Viwanja vya Leaders jijini Dar. Mungu ailaze roho ya marehemu, mahali pema peponi. AMEN! Advertisements Continue reading DAKIKA14: ZA VIDEO YA MAZISHI YA ADAM
KUAMBIANA JANA TAREHE 20/05/2014 JUMANNE…..” on YouTube

PIGA KOPE KTK KIDEO CHA “MB DOG — MBONA UMENUNA (OFFICAL VIDEO)” on YouTube


Ukamilifu wa video hii ambayo picha zake niliziweka hapa wiki chache zilizopita ni huu hapa japo video hii ilikamilika wiki kadhaa nyuma lakini walikua wakisubiri muda sahihi wa kuitoa, ukisha itazama usiache kuandika comment yako alafu baadae MB Dogg atapita kusoma watu wake wamemuandikia nini. Bonyeza play kutazama. Continue reading PIGA KOPE KTK KIDEO CHA “MB DOG — MBONA UMENUNA (OFFICAL VIDEO)” on YouTube

HAYA NDIO MAPYA KUHUSU NDEGE YA MALAYSIA ILIYOTOWEKA ANGANI


Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia amesema Shirika Kuu la Kijasusi la Marekani CIA linaficha maelezo muhimu kuhusu hatima ya ndege ya Malaysia iliyotoweka. Katika taarifa aliyochapisha katika weblogu yake siku ya Jumapili, Mahathir Mohammad amesema CIA na shirika la utengenezaji ndege la Marekani, Boeing, kwa pamoja zinaficha maelezo kuhusu ndege iliyotoweka. Aidha amesema ni jambo la kushangaza kuona vyombo vikubwa vya habari duniani havifuatlii … Continue reading HAYA NDIO MAPYA
KUHUSU NDEGE YA MALAYSIA
ILIYOTOWEKA ANGANI

Kumbukumbu ya miaka 18 toka kuzama kwa MV Bukoba


RIPOTI ya Tume ya Jaji Robert Kisanga,
iliyochunguza chanzo cha ajali ya mv
Bukoba, inasema usiku wa kuamkia
siku ya ajali, meli hiyo ilipakia abiria
kati ya 750 na 800 pamoja na
wafanyakazi 37.
Kati ya hao, 114 waliokolewa wakiwa
hai; wakati 391 waliopolewa wakiwa
wamefariki na kuzikwa katika
makaburi ya Igoma, nje kidogo ya Jiji
la Continue reading “Kumbukumbu ya miaka 18 toka kuzama
kwa MV Bukoba”

WANAFUNZI WA KENYA WAPIGANA NA POLISI KUPINGA ADA KUONGEZWA


image

Wanafunzi walitawanywa kwa kutumia gesi ya
kutoa machozi
Wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Kenya wamezua
vurugu wakipinga mpango wa serikali kutaka
kuongeza karo katika vyuo vikuu vyote vya
umma.

image

image

Polisi walipambana na wanafunzi hao kwa Continue reading “WANAFUNZI WA
KENYA WAPIGANA NA POLISI
KUPINGA ADA KUONGEZWA”

AFISA WA UMOJA WA MATAIFA ALAANI MAUAJI KIDAL


Mkuu wa kikosi cha umoja mataifa cha
kulinda amani nchini Mali analaani vikali
mauaji ya maafisa sita wa serikali na raia
wawili jumapili yalivyofanywa na
waliojitenga katika mji uliozingirwa wa
Kidal.
Albert Koenders anakiita kitendo hicho
hakikubaliki hata kidogo na uhalifu wa
kinyama na Continue reading “AFISA WA UMOJA WA MATAIFA ALAANI
MAUAJI KIDAL”

CNN leo yamkumbuka Filbert Bayi,yashangaa kusahaulika kwake..


Dar es Salaam, Tanzania (CNN) — He’s
smashed world records and revolutionized
running during his illustrious career. And yet the
name of Filbert Bayi has almost been forgotten.
The date was February 2, 1974 and the stage
was the men’s 1500-meter final at the 1974
Commonwealth Games in Christchurch, New
Zealand. Leading from the start, Tanzanian Bayi
continued at a blistering pace throughout the
race to cross the finish line first in a race that’s
often described as the greatest middle distance
event of all time. His record-breaking time?
Three minutes and 32.2 seconds.

image

It Continue reading “CNN leo yamkumbuka Filbert
Bayi,yashangaa kusahaulika kwake..”