Kenyatta maarufu kwa Twitter Afrika


image

ais Kenyatta amempiku Paul Kagame wa Rwanda
kwa idadi ya wafuasi kwenye Twitter
Rais wa Kenya uhuru Kenyatta ndiye Rais
anayejishughulisha zaidi kwenye mtandao wa
Twitter barani Afrika.
Kenyatta amempiku Rais wa Rwanda Paul Kagame
na mwenzake wa Continue reading

Advertisements

Mlipuko waua 21 na kujeruhi 50 Nigeria


image

Moto ukiteketea kulikolipuka bomu nje ya kituo cha
biashara Abuja, Nigeria.
Kumetokea shambulizi la bomu mbele ya soko
lenye shughuli nyingi katika mji mkuu wa Nigeria
Abuja na kuwauwa zaidi ya watu 21.
Taswira ya Continue reading

PICHA ZA WASANII KATIKA UWANJA WA JAMHURI DODOMA KWENYE TAMASHA LA UZINDUZI WA VIDEO YA MIAKA 50 YA TANZANIA


image

Adam Mchomvu kwenye stage sasa
hivi hapa uwanja wa Jamuhuri 104.4 Dodoma.

image

, hawa ni baadhi ya mastaa
wa Tanzania utakaokutana nao leo kwenye
uzinduzi wa ile video ya miaka 50 kwenye uwanja
wa Jamuhuri Dodoma

image

Mastaa vijana wa Tanzania kutoka kwenye
muziki, movie na sehemu nyingine wakiwemo
mastaa wa soka wameungana pamoja na
kutumia ushawishi wao kuonyesha kwamba
wakiamua inawezekana.
Tayari walishaifanya video ya wimbo
walioufanya wa miaka 50 ya Tanzania… leo
ndio wanaionyesha kwa mara ya kwanza
ambapo Rais Kikwete, Waziri Mkuu Pinda, Rais
wa Znz Dr. Shein, Spika Anne Makinda ni
miongoni mwa wakuu wa serikali watakao
ungana nao kwenye uwanja wa Jamuhuri hapa
Dodoma kuanzia saa nane mchana.