Wanawake wa Boko Haram wakamatwa


image

image

Jeshi la Nigeria limewakamata wanawake wafuasi
wa Boko Haram
Jeshi nchini Nigeria linasema limewakamata
wanawake watatu ambao walikua wanawaandikisha
wafuasi wanawake kwa kundi la Boko Haram.
Inadaiwa wanawake hao waliwalenga wajane na
wasichana wadogo wakiwaahidi kuwachumbia kwa
wafuasi wa Boko Haram.
Mwaandishi wa BBC Will Ross akiwa Abuja
anasema inaelekea Boko Haram inajaribu
kuwashawishi wanawake washiriki vilivyo katika
mapambano yao.
Mwezi Continue reading “Wanawake wa Boko Haram
wakamatwa”