NDEGE YA MALAYSIA YATUNGULIWA NA KUUA ABIRIA 295


image

image

image

Ndege ya shirika la Malaysian yatunguliwa kwa
kombora, yaanguka kisha kuua watu wote 295
waliokuwa kwenye ndege hiyo, Mashariki mwa
Ukraine ikiwa safarini kutoka Amsterdam
kuelekea Kuala Lumpur
Miili ya watu imetapakaa kila upande na kile
kinachoaminika kuwa ni
masalia ya ndege hiyo.
Serikali ya Ukraine yadai waliofanya hivyo ni
waasi wa nchi hiyo ila waasi wakanusha kufanya
kitendo hicho
Ndege hiyo Ilitunguliwa ikiwa umbali wa futi
33,000 toka usawa wa bahari

image

Advertisements