Msichana wa miaka kumi na moja anauguza majeraha baada ya mamake kumpiga kwa kigezo cha kumwadhibu .


 

Inadaiwa kuwa mama huyo ana mazoea ya kumpiga mtoto huyo , ishara kamili ikidhihirishwa na alama ambazo msichana huyo yuko nazo mwilini. Aidha majirani wanadai kuwa mtoto huyo hufungiwa nyumbani pekee yake na hata amelazimika kuwacha shule. Majirani waliripoti kesi hiyo na kwa sasa polisi wanatarajiwa kuanzisha uchunguzi.
Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live
Follow us on http://www.twitter.com/ktnkenya
Like us on http://www.facebook.com/ktnkenyav

<iframe width=”560″ height=”315″ src=”//www.youtube.com/embed/F5hGOujGBNg” frameborder=”0″ allowfullscreen>