Kenyatta maarufu kwa Twitter Afrika


ais Kenyatta amempiku Paul Kagame wa Rwanda kwa idadi ya wafuasi kwenye Twitter Rais wa Kenya uhuru Kenyatta ndiye Rais anayejishughulisha zaidi kwenye mtandao wa Twitter barani Afrika. Kenyatta amempiku Rais wa Rwanda Paul Kagame na mwenzake wa

MTOTO WA DIDDY ATINGA KWENYE MAHAFALI NA NDINGA YA BEI MBAYA


Wahenga wanasema kitanda hakizai haramu na mtoto wa nyoka ni nyoka.. Rapa milionea na mmiliki wa kinywaji cha Ciroc Vodka ‘Sean Combs’ AKA P.Diddy ameonyesha jeuri ya pesa baada ya kumpatia mwanae wa kiume Christian Combs (16) mkoko wa bei chafu aina ya Maybach, kuuzia nao sura kwenye mahafali ya kuhitimu masomo yake. ”My son…

Anaaminika Kuwa Mbwa Mkubwa Zaidi Duniani.


Anaaminika kuwa kwenye wanyama wa kubwa aina ya Mbwa basi huyu anawezekana kuwa mbwa mkubwa zaidi. Jina alilopewa na mmiliki wake ni Freddy na anaurefu wa futi 7 na nchi 4. Mlo wake kwa siku una Kilo 6 anaishi uingereza

BIRDMAN AMZAWADIA JUSTIN BIEBER GARI AINA YA BUGGATI


Birdman na Justin Bieber Muanzilishi na mmiliki wa studio ya Cash Money, mjasiriamali na rapa Brayan Williams(45) ‘BirdMan’ amemzawadia mwanamuziki wa R&B, Justin Bieber gari ya kifahari aina ya ‘Bugatti Veyron’ yenye thamani ya dola za kimarekani milioni 2 alilokuwa akitumia hapo awali. “Uncle Stunna luv. My first Bugatti ♛ #generosity,” aliandika Justin Bieber kwenye…