CHADEMA yatangaza Baraza Kivuli la Mawaziri Jipya 2014 likihusisha vyama vingine!


hatimaye Baraza Kivuli la Kambi ya Upinzani Bungeni liko hewani kama ifuatavyo; WAZIRI MKUU KIONGOZI WA UPINZANI BUNGENI (KUB) MIZENGO KAYANZA PETER PINDA FREEMAN AIKAELI MBOWE WIZARA WAZIRI WA CCM NAIBU WAZIRI CCM WAZIRI KIVULI NAIBU WAZIRI KIVULI (UKAWA) (UKAWA) 1 OFISI YA RAIS CAPT. GEORGE PROF. KULIKOYELA (UTAWALA BORA) MKUCHIKA KAHIGI(CHADEMA) 2 OFISI YA RAIS (MENEJIMENTI YA CELINA KOMBANI VINCENT NYERERE UTUMISHI WA (CHADEMA) … Continue reading CHADEMA yatangaza Baraza
Kivuli la Mawaziri Jipya 2014
likihusisha vyama vingine!

Wabunge sharti waitwe ‘Waheshimiwa’ Kenya


Bunge la Kenya Wakenya wanakabiliwa na tisho la kufungwa jela mwaka mmoja au kulipa faini ya dola 23,000 kwa kukosa kumuita mbunge ‘mheshimiwa’ unapozungumza naye. Sheria hii mpya inayopendekezwa na wabunge wa Kenya inalenga kuhakikisha kila afisaa mkuu wa serikali anapewa heshima anayostahili. Watakaovunja sheria hiyo watapata adhabu kali. Adhabu hiyo itawakuta wale watakaokosa kumpa Rais heshima zake kwa kumuita ‘Mtukufu Rais’, naye spika wa … Continue reading Wabunge sharti waitwe ‘Waheshimiwa’ Kenya

Mvinyo wamtia mashakani kiongozi Australia


Barry O’Farrell amekiri kuwa alikosa kwa kutosema ukwlei ingawa alighafilika Kiongozi wa jimbo lenye idadi kubwa ya watu nchini Australia,New South Wales, amejiuzulu baada ya kukosa kutangaza kuwa alipata zawadi ya mvinyo yenye thamani ya dola 2,800. Waziri mkuu wa New South Wales ,Barry O’Farrell alikiri kuwa alisahau au alighafilika kwa bahati mbaya baada ya kuambia jopo moja linalochunguza visa vya ufisadi kuwa hakuwahi kupokea … Continue reading Mvinyo wamtia mashakani kiongozi
Australia