Korea and USA in conference about nuclear


_xi_obama_washington_976x549_getty.jpg[/IMG World of Nuclear North Korea has been a chat during the world conference on nuclear security held in Washngton. After meeting President Xi Jinping of China, President Barack Obama has said all obliged to make the area of ​​the Korean peninsula into a zone free non-nuclear and put more sanctions against Pyongyang. tension mounting…

New system to slash cargo clearance time at Mombasa port, other points


Nine government agencies involved in cargo clearance at theKenyan port of Mombasa have until December 31 to migrate to the Single Electronic Window System before its full rollout. Starting January 1, all trade transactions involving the agencies — including applications for permits, as well as payment and collection of taxes, fees, duties and levies needed…

Is the mobile number portability idea dead on arrival? Experts differ


Mobile number portability (MNP) was once supposed to be the next best thing to happen to mobile telephony in East Africa. Launched in Kenya in April 2011, amid talk that the service heralded a new dawn, regulators and small or new operators alike would find out soon enough that they took too optimistic a view…

APPLE KUINUNUA KAMPUNI YA DR DRE ‘BEATS ELECTRONICS’ KWA DOLA BILIONI 3.2!


Dr. Dre yupo njiani kuwa rapper wa kwanza BILLIONAIRE pale kampuni ya Apple itakapoinunua kampuni yake yake Beats Electronics. Kwa mujibu wa TMZ, Apple inadaiwa itainunua Beats kwa gharama ya $ 3.2 BILLION. Dre na mwanzilishi wa Interscope, Jimmy Iovine ndio walioanzisha kampuni hiyo. Dre na Jimmy walianzisha kampuni hiyo mwaka 2008 kwa kutengeneza headphone…

Clouds Media yapata leseni ya urushaji wa matangazo katika nchi za falme za kiarabu


Kampuni ya Clouds Media International leo imetangaza kuwa imepewa leseni ya kurusha matangazo katika nchi za umoja wa falme za kiarabu (UAE). Akielezea kuhusu leseni hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo Bwana Joseph Kusaga, amesema sasa kituo cha Clouds TV kimataifa kitakuwa kikishuhudiwa na watu wa mataifa mbalimbali. Joseph Kusaga Clouds TV kimataifa ni mwendelezo…

AFISA MKUU WA FACEBOOK ‘SHERYL SANDBERG’ AWAHIMIZA WANAWAKE KUSHIKILIA NAFASI MUHIMU KATIKA BIASHARA


Muanzilishi wa mtandao wa Facebook Mark Zuckerberg akiwa ameketi na Sheryl Sandberg Afisa mkuu wa mipango wa Facebook, mwanamama Sheryl Sandberg amewahimiza wanawake wenzake Duniani kote kuacha kubweteka na kuwa tegemezi bali kutakiwa kushikilia nafasi muhimu katika biashara. ”Ukiwa unatafakari kufanya kitu, jiulize nini unachoweza kufanya, ikiwa hauna uwoga na basi ukifanye” alisema Sandberg wakati…

HIVI NDIVYO MUONEKANO MPYA WA TWITTER UTAKAVYOKUWA


Ukurasa wako wa Twitter upo mbioni kuwa na muonekano mpya. Twitter imetangaza jana kuwa itazindua muonekano mpya na vitu vipya kwenye kurasa za watumiaji. Kampuni hiyo imesema mabadiliko hayo yatafanya vitendo vya kujieleza binafsi kwenye mtandao huo wa kijamii kuwa rahisi na kwa raha zaidi. Muundo mpya wa Twitter unawapa watumiaji picha kubwa zaidi ya…