IN SUMMARY The new Bill avoids any explicit references to homosexuality, but co-opt sections of the Penal Code, which prescribe, among others, a life sentence for “unnatural sexual practices.” The new Bill also expands the definition of the promotion of unnatural sexual practices and proposes a prison sentence of up to seven years for the promotion of homosexuality. Funding for purposes of promoting unnatural sexual … Continue reading

PICHA ZA WASANII KATIKA UWANJA WA JAMHURI DODOMA KWENYE TAMASHA LA UZINDUZI WA VIDEO YA MIAKA 50 YA TANZANIA


Adam Mchomvu kwenye stage sasa hivi hapa uwanja wa Jamuhuri 104.4 Dodoma. , hawa ni baadhi ya mastaa wa Tanzania utakaokutana nao leo kwenye uzinduzi wa ile video ya miaka 50 kwenye uwanja wa Jamuhuri Dodoma Mastaa vijana wa Tanzania kutoka kwenye muziki, movie na sehemu nyingine wakiwemo mastaa wa soka wameungana pamoja na kutumia ushawishi wao kuonyesha kwamba wakiamua inawezekana. Tayari walishaifanya video ya … Continue reading PICHA ZA WASANII KATIKA UWANJA WA JAMHURI
DODOMA KWENYE TAMASHA LA
UZINDUZI WA VIDEO YA MIAKA
50 YA TANZANIA

BALOZI MPYA WA MAREKANI AJITAMBULISHA KWA MHESHIMIWA MAKAMU WA RAIS


image

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi mpya
wa Marekani nchini Tanzani, Mark
Childres, wakati alipofika Ofisini kwake
Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 9, 2014
kwa mazungumzo na utambulisho wa
balozi huyo.

image

Makamu Continue reading “BALOZI MPYA WA MAREKANI
AJITAMBULISHA KWA
MHESHIMIWA MAKAMU WA RAIS”

DAKIKA14: ZA VIDEO YA MAZISHI YA ADAM KUAMBIANA JANA TAREHE 20/05/2014 JUMANNE…..” on YouTube


Mazishi ya mwongozaji na mwigizaji wa filamu Bongo, Adam Kuambiana yamefanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar siku ya jana. Kabla ya mazishi mwili wa marehemu uliagwa na maelfu ya watu pamoja na watu mashuhuri pamoja na viongozi wa kisiasa nchini katika Viwanja vya Leaders jijini Dar. Mungu ailaze roho ya marehemu, mahali pema peponi. AMEN! Continue reading DAKIKA14: ZA VIDEO YA MAZISHI YA ADAM
KUAMBIANA JANA TAREHE 20/05/2014 JUMANNE…..” on YouTube