KUCHUPA: “PHD On my Wedding Day Official Video Full HD” on YouTube


Baada ya Rest of my Life kufanya vizuri kwenye vituo mbalimbali vya redio nchini, Muigizaji na Msanii wa muziki wa kizazi kipya Hemedy Suleiman ‘PHD’ au unaweza ukamwita PappiNation amekuja na ujio mwingine wa video mpya ya wimbo wake ‘On My Wedding Day’ ikiwa ni miezi michache kupita tangu mkali huyo amuanike mkewe mtarajiwa. Video imetengenezwa na Kwetu Studio chini ya muongozaji wake Msafiri Shabani.. … Continue reading KUCHUPA: “PHD On my Wedding Day Official Video Full HD” on YouTube

PIGA KOPE KTK KIDEO CHA “MB DOG — MBONA UMENUNA (OFFICAL VIDEO)” on YouTube


Ukamilifu wa video hii ambayo picha zake niliziweka hapa wiki chache zilizopita ni huu hapa japo video hii ilikamilika wiki kadhaa nyuma lakini walikua wakisubiri muda sahihi wa kuitoa, ukisha itazama usiache kuandika comment yako alafu baadae MB Dogg atapita kusoma watu wake wamemuandikia nini. Bonyeza play kutazama. Continue reading PIGA KOPE KTK KIDEO CHA “MB DOG — MBONA UMENUNA (OFFICAL VIDEO)” on YouTube

Video Mpya Ya Trey Songz – Smart Phones [Official Video]” on YouTube


Trey Songz ametoa video ya wimbo wake mpya “SmartPhones” inayotoa piha halisi ya kijana anayeishi maisha ya starehe,burudani na ngono nyingi mpaka kupelekea kupoteza mpenzi wake na mahusiano yake kuharibika. Trey katikati ya video anabadilisha mawazo na kurudi nyumbani kuokoa mahusino yake. Trey Songz – SmartPhones [Official Video]: http://youtu.be/7sExF5B4G-U Continue reading Video Mpya Ya Trey Songz
– Smart Phones [Official Video]” on YouTube

VIDEO : KANYE WEST AMPA SHAVU LA KUMSIKILIZA SHABIKI ALIYEDAI ANAUWEZO WA KUCHANA ZAIDI YAKE


Kanye akimsikiliza shabiki aliyekuwa akiimba mbele yake. Rapa na Mmiliki wa lebo ya GOOD Music ‘Kanye West’ mwishoni mwa wiki aliamua kumpatia nafasi ya kumsikiliza shabiki mmoja aliyeonekana kuwa msanii asiye na jina wa miondoko ya kufokofoka, wakati alipokuwa akirudi kwenye makazi yake aliyokuwa amepanga ya Soho eneo la west Hoolwood, mjini Los Angels, Marekani, Akiwa ameongozana sambamba na mpenzi wake Kim Kardashian, kijana mmoja … Continue reading VIDEO : KANYE WEST AMPA SHAVU LA KUMSIKILIZA
SHABIKI ALIYEDAI ANAUWEZO WA KUCHANA ZAIDI
YAKE