VYBZ KARTER AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA JELA


Msanii wa Dancehall wa nchini
Jamaica, Vybz Kartel amehukumiwa
kifungo cha maisha jela. Staa huyo
ambaye jina lake halisi ni Adidja
Palmer, alipataka na hatia ya mauaji
kwenye kesi iliyosikilizwa March 13
mwaka huu.

image

Kartel na washkaji zake watatu
walihusika kwenye mauaji ya Clive
‘Lizard’ Williams November 2011.
Kwa mujibu wa mtandao wa
Billboard, washkaji hao watatu wa
Kartel ambao ni Shawn Campbell,
Kahira Jones na Andre St. John nao
wamefungwa kifungo cha maisha
jela.
Kesi hiyo iliyochukua siku 65 ni kesi
ndefu zaidi kuwahi kusikilizwa
kwenye makahama ya Jamaica

Posted from WordPress for Android,by hailedavy